Kitai (Papua)

Kitai ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Watai. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kitai imehesabiwa kuwa watu 900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitai iko katika kundi la Kimadang.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search